About

Kilimo Leo ni Blog ambayo inakupa wewe mkulima na mjasiriamali pamoja na mfugaji kufahamu mambo mbali mbali yahusianayo na kilimo, ufugaji pamoja na ujasiriamali. Hapa utapata kujua ni kwa namna gani wakulima nje ya mipaka yako wanavyofanya, wafugaji wenzako wanavyofanya na kufanikiwa katika sekta hiyo uliopo.

Blog hii ni sehemu moja wapo ya mtokambali.com ambapo ndani yake kuna waandishi mbali mbali waliobobea katika maswala mbalimbali yahusuyo Maisha, Mahusiano, Afya na Teknolojia pamoja na Kilimo.